Wednesday 7 May 2014

HUBIRI INJILI

Divine embrace


Yesu alituagiza kuwafanya wengine kuwa wanafunzi wake kwa kwenda kuwafundisha neno lake ili waweze kutii na kubatizwa kwa jina lake.
Hili ni agizo ambalo Yesu ametupatia na tunahitajika kutii ili kuwatoa wengine katika ufalme wa shetani.
Nenda Usiogope Mungu yuko pamoja na wewe. Katika eneo lile ambalo upo, kuna watu ambao hawajamuamini Yesu Kristo, sema nao na ukifanya hivyo Mungu akubariki.

Imeandaliwa naMtumishi wa Bwana Mchungaji Philip Buluba wa Mwiseni FPCT.

No comments:

Post a Comment