Wednesday 7 May 2014

Kanisa Jipya linalojengwa Mwiseni katika Wilaya ya Bunda Mkoani Mara

 Samwel Leppanen Mungu akubariki kwa sapoti yako kwa Kanisa hili la Mwiseni/Kisorya FPCT.
Kanisa la P.A.G Kisorya Bunda Mara lililoanguka kwa sababu ya Mvua iliyokua na upepo mkali.
 Washirika hawana sehemu ya kuabudia kwa sasa, hivyo wanakusanyika chini ya Miti, tuombe Mungu awasaidie ili waweze kupata jengo jingine watakalolitumia kumwabudu Mungu
Kanisa la FPCT Kisorya Bunda Mara  likiwa kwenye Ujenzi

No comments:

Post a Comment